Sunday, 27 November 2016

NEW NOTES ALERT

Endelea kututembelea hapa hapa na Leo Tutakuletea notes zifuatazo
Land Law
Criminal Procedure Act
Tanzania Law Reports
  Law jurisprudence
  Contact Law Act
  Development Studies
  Computer
  Communication skills for lawyers
  
Just keep in touch with us Hapa hapa katika uwanja wako wa kisheria

 

HIZI HAPA NOTES AMBAZO HUPASWI KUZIKOSA

Tanzania Constitution 1977
CRIMINAL LAW AND PROCEDURES
Charter of the UN
Criminal Cases
Doctrine of Separation Of Power
Tanzania Cyber Crime Act 2015
Tanzania Penal Code Cap 16 RE (2002)

ENDELEA KUBAKI NA SISI NOTES ZINGINE ZITAKUJIA HIVI PUNDE HAPA PIA ENDELEA KUTUFOLLOW @nkololop kwenye INSTAGRAM 

NOTES KWA COURSES ZOTE ZA SHERIA

Notes zote kwa masomo ya sheria zinapatikana katika blog yetu unachotakiwa kufanya ni ku click sehemu ineandikwa Law notes then you will be accessed to the site ambayo itakupa notes zote
Land law
Law of tort
Criminal law
Constitution law
Legal method
Contact law
Family law
N. K
Pia usisahau kutufollow instagram kupitia @Nkololop kwa updates za kisheria

Saturday, 26 November 2016

KARIBU SANA KATIKA UWANJA WA SHERIA

Hii ni blog mahsusi kwako wewe mwanafunzi na mkufunzi wa masuala ya kisheria na mtu yeyote mwenye kuhitaji uelewa wa masuala ya kisheria ambapo blog hii inakukutanisha na wataalamu wa masuala ya kisheria kutoka katika kila kona ya nchi hii na dunia hii pia blog hii inakupa machapisho, majarida na mapitio ya sheria mbali mbali ambazo hupaswi kupitwa karibu sana

Paschal Nkololo +255757722234
Follow me @Nkololop (instagram)
www.facebook.com/pasco_nkololo